Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Niambie saa ngapi ili nisije pishana na picha mie.Usijali lazima kukuonyeshe leo
Ya Jana uliiona?Akituma naomba uni tag mpendwa
Hahah!
Ehh! Wakishua mna mambo nyie, huku uswazi hatunaga hayo mamboIle picha nilienda Zuu kutazama mpendwa sijabahatika kwenda tena
Tukutane hapa 23:00 AnneNiambie saa ngapi ili nisije pishana na picha mie.
Hakuna mchungu mkali kwenye huu Uzi Kama kupishana na picha jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kuona mikono mpendwa 😄😄Unataka kuona nini mpendwa, embu niambie labda naweza kukusikiliza
Heee ukaisave kabisaa aiseeee
Hahah! Usijali mpendwa kukiwa na utulivu tu nakuoneshaNaomba kuona mikono mpendwa 😄😄
😂😂😂
[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23]Hahah! Tulia wewe.... Anne kaona mguu wa player
[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] uwiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndiyo ana mguu wa kiume.
Yaani amekaa jinsi mwanaume anavyotakiwa awe
Sent using Jamii Forums mobile app
Nioneshe mpendwa 🙏🙏
[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23]
SawasawaAsante ndugu View attachment 1370619