Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Jesse Lingard ni jina la mchezaji mwingine anayehusika kwenye orodha hii. Staa huyo Mwingereza hajafunga bao lolote kwenye Ligi Kuu England tangu Desemba 2018 na sasa Kocha Solskjaer anaona inatosha na kufikiria kuachana naye.