Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Mpendwa Hawachi embu acha basi kupotoshaNingepata urembo kama huo ningefurahi yangu sura ya baba siwezi kujichanganya kuweka.
Mpendwa Hawachi embu acha basi kupotoshaNingepata urembo kama huo ningefurahi yangu sura ya baba siwezi kujichanganya kuweka.
Huu ujanja unatumia nimegundua 😀😀😀Mpendwa Hawachi embu acha basi kupotosha
Hahah! Wewe ndio nimekushtukia ujanja wako huo na hatuwezi kukubali uendelee kutudanganya hapaHuu ujanja unatumia nimegundua 😀😀😀
Yaani unanijaza ili nitume yangu leo naweka usiku wa saa nne bila kuficha sura 😎Hahah! Wewe ndio nimekushtukia ujanja wako huo na hatuwezi kukubali uendelee kutudanganya hapa
Hahah!Yaani unanijaza ili nitume yangu leo naweka usiku wa saa nne bila kificha sura 😎
Hahah! Ya bila kuficha sura sisi hatuitaki mpendwa, tunataka ile ya kufichaYaani unanijaza ili nitume yangu leo naweka usiku wa saa nne bila kificha sura 😎
Haya ni maajabu unataka ya kuficha sura😀😀😀Hahah! Ya bila kuficha sura sisi hatuitaki mpendwa, tunataka ile ya kuficha
Ndio mpendwa nataka ya kuficha, ile ya full hapana haifaiHaya ni maajabu unataka ya kuficha sura😀😀😀
Unahisi nitakuwa sio mimi HawaNdio mpendwa nataka ya kuficha, ile ya full hapana haifai
Unaweza ukawa ni wewe mbona Numbi alishajiweka hapa full ila ilikua ni usiku sana na tulikua wawili tu sema mimi sitaki kukuona full nataka tu vipande mpendwaUnahisi nitakuwa sio mimi Hawa
Nitakuwepo nami "nikuonemo"Yaani unanijaza ili nitume yangu leo naweka usiku wa saa nne bila kuficha sura [emoji41]
Usijali mpendwa nitaweza si chini ya tano
Naomba Nioneshe ya Numbisa mpendwa 🙏🙏🙏🙏Unaweza ukawa ni wewe mbona Numbi alishajiweka hapa full ila ilikua ni usiku sana na tulikua wawili tu sema mimi sitaki kukuona full nataka tu vipande mpendwa
Huyu huyu Numby mama laooo!!!Unaweza ukawa ni wewe mbona Numbi alishajiweka hapa full ila ilikua ni usiku sana na tulikua wawili tu sema mimi sitaki kukuona full nataka tu vipande mpendwa
Ahsante Mpendwa wetu kipenzi wa uzi wetu, acha nilale saa hizi ili niweze kukabiliana na foleni ya kusubiri matokeo muda ukifikaUsijali mpendwa nitaweza si chini ya tano
😄😄😄Asante kwa comment tamuAhsante Mpendwa wetu kipenzi wa uzi wetu, acha nilale saa hizi ili niweze kukabiliana na foleni ya kusubiri matokeo muda ukifika
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati najiandaa kuichukua aliitoa haraka sana hivyo sikufanikiwa kuisave mpendwa, ila huyo binti ni mrembo sanaNaomba Nioneshe ya Numbisa mpendwa 🙏🙏🙏🙏
Kama nani Tanzania hiiWakati najiandaa kuichukua aliitoa haraka sana hivyo sikufanikiwa kuisave mpendwa, ila huyo binti ni mrembo sana
Numbisa Huyo huyo Anko, hakika siku ile nilikua mwenye bahati na jinsi alivyokua "kisu" niliwewezeka nikasahau ata kuisaveHuyu huyu Numby mama laooo!!!
Yaani huyu Numby kiboko yao!!!
Ee ee eeeeeee....
Basi nitumie hako kapicha(hasa kama kana vya kuchoma) kanisaidie kujibia maswali...
Sent using Jamii Forums mobile app