Unahisi nitakuwa sio mimi Hawa
😀😀 ukijiita hawa inapendeza
Unahisi nitakuwa sio mimi Hawa
Ni ngumu kusema kama nani mana siunajua kila mtu ana vitu vyake, ila she is hot 🔥Kama nani Tanzania hii
Huyo mtu anafaidiNi ngumu kusema kama nani mana siunajua kila mtu ana vitu vyake, ila she is hot 🔥
Noma mzee kuna watu wanafaidi sanaHuyo mtu anafaidi
Na kwa story zangu za hiyo miguu ..yaani ukipitwa lazima roho ikuume[emoji23][emoji23]Heh jamani kuna miguu imenipita humu!
Wekeni round ya pili tuone
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Woyooooooooh! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#teketektekeeee kituuu
#KDkazuamambo
Endelea kufunga mkono[emoji23]Naunga mkono hoja. Stella tuwekee tausi
Yepi hayo?[emoji23][emoji23][emoji23]Mmmmh, uliyoyafanya juzi yamenitisha[emoji23]
Niambie Anne
🤣 Yaani ulivyoisifia nimeweka picha kichwani .Na kwa story zangu za hiyo miguu ..yaani ukipitwa lazima roho ikuume[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
😁Nilijua na wewe umeweka Miguu humu
😁 Abiria chunga mzigo wakoUnasaundiishwa mbele yangu naona na unatwaliwa pia naona[emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23], sijawaka niliuliza tu, walivyoona nawasimbua wakageuza lugha wakawa wanaongea kisafa.
Ila nijuavyo Stalla alitwaliwa na Anko maana lugha yao naijua[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Embu tuone...Niambie Anne
Shwaini zako nani asiye kujua wewe [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Numbisa Huyo huyo Anko, hakika siku ile nilikua mwenye bahati na jinsi alivyokua "kisu" niliwewezeka nikasahau ata kuisave