Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unaweza ukawa ni wewe mbona Numbi alishajiweka hapa full ila ilikua ni usiku sana na tulikua wawili tu sema mimi sitaki kukuona full nataka tu vipande mpendwa
Huyu huyu Numby mama laooo!!!
Yaani huyu Numby kiboko yao!!!
Ee ee eeeeeee....
Basi nitumie hako kapicha(hasa kama kana vya kuchoma) kanisaidie kujibia maswali...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu huyu Numby mama laooo!!!
Yaani huyu Numby kiboko yao!!!
Ee ee eeeeeee....
Basi nitumie hako kapicha(hasa kama kana vya kuchoma) kanisaidie kujibia maswali...

Sent using Jamii Forums mobile app
Numbisa Huyo huyo Anko, hakika siku ile nilikua mwenye bahati na jinsi alivyokua "kisu" niliwewezeka nikasahau ata kuisave
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…