Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Atafika tuAsante kwa somo daktari lishe
Ila kwa hii spidi sidhan kama aliye nyuma yako atafikia idadi ya message zako jamiiforums
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuombea uzimaAtafika tu
1.nikiumwa nikakaa muda mrefu bila kuingia JF
2.nikila ban ndefu
3.nikipata uvivu wa kutype
4.akiongeza spidi
5.HATUNA MASHINDANO MKUU
6. Nikifa
Hahahaha[emoji1787] Yaani ulivyoisifia nimeweka picha kichwani .
lakini nasema haiwezi kuipita ya Bae wangu bwana...
😀😀