Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Weka picha ya mfano
Hiyo
Bado nipo njiani sijafika tu kwa moud[emoji26]
IMG_20200229_183034_7.jpeg
IMG_20200229_183000_1.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siwezi kukutafutia mume dadangu. Tumia uhuru wako vyema ila ukishampata tu nitonye niwaambie wazee huku tuanze mchakato. Safari hii bila shaka hutazoa pasua kichwa na bahili kama huyo mzee wa Tukuyu.

Fikisha salamu zangu za upendo kwa vipwa vyangu vizuri vimalaika. Barikiweni [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji233][emoji243][emoji233][emoji243][emoji230][emoji230][emoji233][emoji230][emoji243][emoji233][emoji230][emoji233][emoji243][emoji233][emoji230]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nililipa ng'ombe wote 15 niliokuwa nadaiwa.... Sidaiwii na siachiki kirahisi.
Nasema Nsamaka popote ulipo...
 
Back
Top Bottom