Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Karibu mbeya
Kabwe mbeya TZ
IMG_20200229_193715_4.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini, baadaye beki huyo alituma ujumbe wake kwenye mitandao ya kijamii kwamba hafikirii kadi nyekundu wala kichapo na badala yake, akili yake ameelekeza kwenye El Clasico keshokutwa Jumapili.
 
Katika siku ambayo Manchester City iliwasilisha rufaa yake ya kupinga kufungiwa misimu miwili kushiriki kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, staa wake Kevin De Bruyne alifunga kwa mkwaju wa penalti kuipa ushindi wa mabao 2-1 ugenini kwa Los Blancos na hivyo kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kutinga hatua ya robo fainali ya michuano hiyo ya Ulaya.
 
Na hilo limeleta matunda huko Bernabeu baada ya vijana wake kutokea nyuma kwa bao 1-0 na kushinda 2-1 dhidi ya mabingwa hao mara 13 wa Ligi ya Mabingwa Ulaya huku Man City ikiandikisha ushindi wake wa kwanza dhidi ya Real Madrid.
 
Back
Top Bottom