Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Guardiola alisema: “Napaswa kuwafahamu wapinzani wangu. Tulikuwa na siku 10 za mapumziko na siku hizo nilitumia kutazama mechi nyingi sana za Real Madrid. Najivunia sana wachezaji wangu, lakini hii ni kama sehemu ya kwanza tu.