Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shimba kaka nakusalimia, tafuta shemeji mwingine tuongeze ng'ombe. Huyu mzee wa tukuyu ndio ishakula kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kukutafutia mume dadangu. Tumia uhuru wako vyema ila ukishampata tu nitonye niwaambie wazee huku tuanze mchakato. Safari hii bila shaka hutazoa pasua kichwa na bahili kama huyo mzee wa Tukuyu.

Fikisha salamu zangu za upendo kwa vipwa vyangu vizuri vimalaika. Barikiweni [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan huyu mzee hafai kbs, talaka yake ataikutia hapa hapa.
Tangu mwaka juzi kaenda mjini kuuza maparachichi na hajataka kurudi tena kijijini

Back
Top Bottom