Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Duh! Hujambo....Shimba kaka nakusalimia, tafuta shemeji mwingine tuongeze ng'ombe. Huyu mzee wa tukuyu ndio ishakula kwake
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawasawa...Upungufu wa madini chuma ni tatizo kwa wakazi wa nchi nyingi duniani ikiwamo Tanzania.
Siwezi kukutafutia mume dadangu. Tumia uhuru wako vyema ila ukishampata tu nitonye niwaambie wazee huku tuanze mchakato. Safari hii bila shaka hutazoa pasua kichwa na bahili kama huyo mzee wa Tukuyu.Shimba kaka nakusalimia, tafuta shemeji mwingine tuongeze ng'ombe. Huyu mzee wa tukuyu ndio ishakula kwake
Sent using Jamii Forums mobile app
✔✔✔Muhimu
Ngassa anasema ulaji wa matunda yenye uchachu kama vile machungwa, ubuyu, ukwaju vikiliwa pamoja na mlo husaidia ufyonzwaji wa madini chuma kwenye chakula.
Nipo. Wewe ndio adimu kama almasi
Siwezi kukutafutia mume dadangu. Tumia uhuru wako vyema ila ukishampata tu nitonye niwaambie wazee huku tuanze mchakato. Safari hii bila shaka hutazoa pasua kichwa na bahili kama huyo mzee wa Tukuyu.
Fikisha salamu zangu za upendo kwa vipwa vyangu vizuri vimalaika. Barikiweni [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee.. Hii sikujua=Kulinda ini.
Nipo. Wewe ndio adimu kama almasi
🙏🙏🙏thenki yuu......=Kuongeza ubora wa mbegu za uzazi za mwanaume.
=Kupunguza kiwango cha sukari kwenye damu.
=Kupunguza kiwango cha kolesteroli mwilini.
Sawa.....uwepo wako ni muhimu kwetu🙏