Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Amekuwa akileta mambo mengi ya hovyo kwenye timu. Kiwango chake ni kizuri, lakini amekuwa akicheza kwa kiwango cha chini sana.
Ankoo hili ndio somo sasa...CHAKUSHANGAZA
Kisimi (clitoris) kina mishipa ya fahamu 8000, mara mbili zaidi ya uume wenye mishipa 4000.
Lakini kazi ya kisimi ni moja tu. Kumletea raha mwanamke.
😂😂😂
😂😂😂😂Daah! Nimeachwa kizembe kweli, siku hizi kwanini nimekua fala hivi?
[emoji125][emoji125][emoji125]Na jana ulikuwa na mechi ya ugenini,utupe mrejesho maana mzee wa pwani kapotea mazima humuYaani wametupiga
Tena matatu[emoji24][emoji24]
Jana Tanesco wakafanya yaoMwambie kesho namlipa deni lake in full
#sametimesameplace
[emoji2][emoji2][emoji2] bro, upo makiniNamsemea ..... Yooooh
Umemuona sasa jinsi anajitoa mwenyewe kwenye soko la ushindani?