Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Wahafidhina wa uzi huu wanaokoromaga picha za misambwanda zikiwekwa wana maoni gani kuhusu kufunguka kwa aina hii?[emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Kuna utofauti kati ya maandishi na picha zile picha unazoweka kwa sisi ambao mda mwingi tupo na wazazi ndugu na jamaa ni aibu kufungua uzi huu ukakutana na picha za uchi ila maandishi hadi mtu ayasome labla awe ameshika simu.mfano kwa sasa nipo kwenye daladala najibu sms yako bila wasiwasi ila ingekuwa kuna picha zile ingenibidi nisubiri sehemu yenye utulivu nikiwa peke yangu ndipo niingie kwenye uzi wa like.
 
Kuna utofauti kati ya maandishi na picha zile picha unazoweka kwa sisi ambao mda mwingi tupo na wazazi ndugu na jamaa ni aibu kufungua uzi huu ukakutana na picha za uchi ila maandishi hadi mtu ayasome labla awe ameshika simu.
Sijawahi kuweka picha za uchi hapa hata siku moja labda kama sielewi maana ya picha za uchi. Anyway, tangu siku ile uliponijia juu nilishaacha mpendwa. Hutapata aibu tena [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
😁😁😁
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Wahafidhina wa uzi huu wanaokoromaga picha za misambwanda zikiwekwa wana maoni gani kuhusu kufunguka kwa aina hii?[emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hio post nimeweka usiku mnene. Kumbuka ulishatoa onyo ya usiku yasiquotiwe asubuhi au mchana so walioquote wana makosa hapo
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…