myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mashabiki walifanya tukio la kusikitisha lakini wachezaji wakafanya tukio la kufurahisha sana.Nimesaka marudio yake bila mafanikio ipo siku nitayapata tu ili nishuhudie huo uhondo
Nasikia The G. O. A. T mwenyewe alikuwepo kuwatia hamasa vijana..ColeeeeeeeView attachment 1374434kama ronaldo vile
Umeona ee G.O.A.T alikua jukwaani wakati min goat alikua uwanjani kafichwa na casemiro heheheNasikia The G. O. A. T mwenyewe alikuwepo kuwatia hamasa vijana..
[emoji23][emoji23]jamaa ana vibe kama loteeeAdmin wa hii acc [emoji119][emoji119][emoji23][emoji23]View attachment 1374543
Habari gani?Hii habari ni kweli wapendwa 😭😭
[emoji23][emoji23][emoji23]vibe la huyu admin hapana aisee, kuna siku ameandika Ujuguu Ujuguuuuuu[emoji23][emoji23][emoji23]jamaa ana vibe kama loteee
Min goat jana utadhani hakuwepo uwanjani...Zizzou hafai yuleUmeona ee G.O.A.T alikua jukwaani wakati min goat alikua uwanjani kafichwa na casemiro hehehe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vibe la huyu admin hapana aisee, kuna siku ameandika Ujuguu Ujuguuuuuu[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukimbana mini goat barca nzima inapoteanaMin goat jana utadhani hakuwepo uwanjani...Zizzou hafai yule
Mgonjwa wa kwanza wa Corona kagundulika katika hospital ya Agha khan nimepata mawazo ghafla🤔Habari gani?
Aiona Cole Williams[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukimbana mini goat barca nzima inapoteana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heee ugonjwa ushatua aiseee kwenye daladala tutapukutika wengiMgonjwa wa kwanza wa Corona kagundulika katika hospital ya Agha khan nimepata mawazo ghafla🤔
Mungu atunusulu kwa huu ugonjwaHeee ugonjwa ushatua aiseee kwenye daladala tutapukutika wengi
AmenMungu atunusulu kwa huu ugonjwa