Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Davet soma hapo chini[emoji23][emoji23]

View attachment 1376032
Walibikiriwa kibabe sana. Wana trauma hao na mpaka kurudi sawa itabidi mpaka ushauri nasaha na misaada mingine ya kisaikolojia. Na wakizubaa hata ubingwa wanaweza wasiupate wacheza rede hawa.

Acha watelezeshweamo tu kwa sababu walikuwa wamezidi kujimwambafai. Tulikuwa hatulali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…