Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Duuu, acheni hizo.
Mi nilikuwa napewa au nyingine nilikuwaga napewa na wale wageni wanaokuja home zama hizo.
Unajikuta una mkwanja wa kutosha[emoji23][emoji23]
Ayaaaaaaaa umenikumbusha mbali kweli kweli. Shule nilikua nafungiwa viazi vha kuchemsha hakuna cha hela mtoto wa mkulima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi sina hela, kwahiyo waweza niita moud tu kama walivyo masikini wenzangu.
Mo tutawaachia wale matajiri na maarufu kama Mo Ibrahim, Mo Dewji, Mo Salah nk.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…