Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

SHIMBA YA BUYENZE kaniletea kabati ya baridi....maana sasa hivi nakula barafu tu ndio napoza mwili.
 
Hahahahaha,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nishakumbuka bro kuhusu ile sinema ya zamani tuliyotazama pale Empire mwaka 1987.
Break dance 2 electric boogaloo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bro unanipiga chini umenisahau kwenye vijiwe vyetu enzi zile tupo na kina Side Storowei. Hahah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…