Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Naona bado hajaujua 😄Naona bado. Siku akikutana nao laivu vu bin vu sidhani kama atakuwa na maneno mengi hivi. Wanakuwaga wapoleeeee [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Unasikia Saint Anne mpaka ukubali uwe mke wa nne ndio utauona mguu wa UstadhiMguu wa ustadhi hauonekani kiholela1[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Unasikia Saint Anne mpaka ukubali uwe mke wa nne ndio utauona mguu wa Ustadhi
Ataujua tu. Atakwenda wapi? Dunia yenyewe ni hii hii hakuna nyingine [emoji16][emoji16][emoji16]Naona bado hajaujua [emoji1]
Kuna binti mmoja anataka kuona mguu wa mtoto wa Ustaadh Moud. Ustaadh naye hataki kumuonyesha eti mpaka wawe faragha. Ndiyo hapo kuna mvutano sasa. Ila sisi tunamlaumu Ustaadhi kwa sababu hii ni bahati sana kapata halafu anazingua bila sababu....Uzi huu Leo naona, key word ni "Mguu wa mtoto". Nadhani nilipitwa hii mada, kinaongelewa nini hapa poti? SHIMBA YA BUYENZE? [emoji3]
Huo mguu wa kuonyeshana faragha utakuwa mguu dizaini aisee, eeeh! 😀 😀 ... Huyu kirusi Korona ni hatari huyu, ni kirusi mpya huyu; hakuna mtu ambaye ana immunity na huyu kirusi. Pande hii sijasikia ila huwezi kujua, watu wanatembea nae tu bila kujua. Ni hatari sana.Kuna binti mmoja anataka kuona mguu wa mtoto wa Ustaadh Moud. Ustaadh naye hataki kumuonyesha eti mpaka wawe faragha. Ndiyo hapo kuna mvutano sasa. Ila sisi tunamlaumu Ustaadhi kwa sababu hii ni bahati sana kapata halafu anazingua bila sababu....
Ishu hii ni ndefu kidogo na nadhani ilianzia kwenye mguu wa King Davet...
Kwema lakini huko kwako? Huyu Kirusi Korona vipi?
Naona bado. Siku akikutana nao laivu vu bin vu sidhani kama atakuwa na maneno mengi hivi. Wanakuwaga wapoleeeee [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Uzi huu naupenda [emoji91][emoji91][emoji91]
Hahah! Ona sasa mtu kaamua aigeuze baruti
Unasikia Saint Anne mpaka ukubali uwe mke wa nne ndio utauona mguu wa Ustadhi
Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nafwaaaaaa !!!