Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atajua hajuiii[emoji23][emoji23]
Yaani unatakiwa kuwa makini sana.
Masikini stella ana misamiati mingi ya humu hajaijua
ππππ Siwezi rudia kosa kwakweliWeka macho akuuze tena[emoji23][emoji23]
Nimeshampa muongozo tayariHuyu Anne ni shida yani akijisikia tu ananiweka sokoni, itabidi ajue kanuni za kweli....
#AhsanteSana
Aaah kumbe,kuna ya kikorea descendants of the sun naona wafilipino wameirudia hivyo hivyoKama umeiona good doctor ya kikorea na hii story ni ile ile tu
ππππππWatu wanaangalia mpira yeye kakazana kuangalia miguu ya watu ilivyojichora[emoji23][emoji23]
Kule bado sijazifata huwa busy na vikorea ila u tube ukiwa na application ya vidmate unadownload vizuri tuHuwa unavuta kupitia u tube?
Maana nimeona watu wanaisifia ila bado sijaivuta,nimeiweka kwenye wish list.Nimeiona,Kwa upande wangu mie sijaipenda ila wengi wanaisifia.
Tabu ni pale nimesoma stori nyingi za korea kaskazini halafu sijaziona kwenye movie hio. Vuta episode mbili kisha itadhamini kama inakufaa au la.
Nimegundua leo night siku nzuri ya kuvuta movies
Hakuna mguu ulioonekana hapoDavet hivi Kama hapa,hii miguu SI inaonekana tu jamaniView attachment 1378425
Sent using Jamii Forums mobile app
πππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atajua hajuiii
Soon atakua mwalimu wetu wa misamiati humu
Kule bado sijazifata huwa busy na vikorea ila u tube ukiwa na application ya vidmate unadownload vizuri tu
Kama ankoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]
Asubiri wachambuzi waje
Can't wait........La casa de papel
Season 4 returns april 3rd,2020
Let the chaos begin[emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 1378426
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sana enzi za kilimo[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekumbuka enzi za msamiati wa fenesi
Huu uzi umetoka mbali sana
Hivi wako Ni zaidi ya huu?Hakuna mguu ulioonekana hapo
Nilikua naitumia kuvuta isidingoOoh!sawa
Sijawah tumia u tube kuvuta series
ππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] gia zinabadilishwa angani daah
Ngoja niangalie review yake ikojeAaah kumbe,kuna ya kikorea descendants of the sun naona wafilipino wameirudia hivyo hivyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atasababisha nisiwe naangalia mpira safi bali miguuMimi nimeamua nikatubu[emoji23][emoji23]
Shuaini za stella
ππππ[emoji23][emoji23][emoji23]
Naona ndege imekula u-turn angani