moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mungu wangu Mimi[emoji23][emoji23][emoji23]!!
Ya Nini Mimi jamani???
Kwa kitu gani nilichonacho Mimi[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba humu ndani kuna mtu anaomba "mguu wa mtoto"[emoji23][emoji23][emoji23]
Yenyewe huu uzi ulikofikia ni hatari.
Nasikia kuna mtu kaombwa mguu wa mtoto tena wa oustaadhi[emoji23][emoji23]
Naelewa mtani
ningendako asiwe na shaka deni lake nitalipa tu
Watu wanaangalia mpira yeye kakazana kuangalia miguu ya watu ilivyojichora[emoji23][emoji23]
Hatare ostaadh kapigwa butwaa kubwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hicho ndicho huwa kinanivutia.
Ndiyo maana huji kunikuta naangalia mpira wa wadada[emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Enzi hizo kulikua na gazeti la sanifu kama sio uwazi halafu lina katuni za uroda. Hata sikujua maana ya uroda basi shule wenzangu wakizisifia katuni za majarida ya sani,bongo,tabasamu nawabishia eti weeeweee unaufahamu utamu wa uroda halafu kwa sauti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]