Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Wacheza rede. Hata moja hawapati...VIPI kuhusu kumaliza msimu bila kupoteza mchezo? Washafeli. Je, Kuchukua mataji matatu? Haiwezekani tena.
Wataendelea bila mashabiki. Epl ni starehe ya wengi sio Liverpool pekeeWacheza rede. Hata moja hawapati...
Corona inatanda. Msimu unakuwa cancelled. End of story [emoji2221]
Huyu dishi lake Lina matatizoSaint Anne. Unakubaliana na huyu mkuu wa mkoa wako? [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1378808
πππππππππMwalimu darasa la kilatini linaendeleaje?[emoji23]
Natania tu. Ni chambo kwa Saint Anne na Ostaadh wake [emoji16][emoji16][emoji16]Wataendelea bila mashabiki. Epl ni starehe ya wengi sio Liverpool pekee