Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Mtuwache[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Namaanisha English premier League (EPL)ni starehe ya wengi sio mashabiki wa liver pekee kuna timu nyingi kule,kuna watu wanaendesha biashara za kubet,matangazo,jezi,etc kupitia epl. Sijawahi kuwa interested na Liver anne
Kama virusi vitatishia amani ni lazima ligi isimame haiwezi endelea bila mashabiki ukiachilia mbali mapato pia ata maambukizi miongoni mwawachezaji wenyewe
Yap! Ndio moja ya wana wanaotengeneza kundi la OMG yupo na kina Young Lunya