Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahah! Eti awe wako peke yako jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ili hayo yawezekane sasa unatakiwa uwe mtundu sana na ubunifu wa hali ya juu

[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Hata awe na utundu na ubunifu wa aina gani siku hizi hakuna kitu. Bila kujua mwanaume anataka nini hasa kwake hata awe na utundu na ubunifu kuwazidi akina Cherokee D'Ass ni kazi bure [emoji2221][emoji2221]
 
Haki nimecheka mie[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…