carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
WachaaUnaweza kupata mchumba na usiweze kupata unyumba mwema
Uroda ina numbisa's voice[emoji125][emoji125][emoji125]Hivi unyumba huwa ni nini bro?
[emoji23][emoji23][emoji23]Unataka kuandikaje labla [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi huyu umenifanisha mpendwa [emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwanzoni tulipata shida ila saiv tumezoea kuna saa hatusomi comments tunachapa likes tu
Mh!Chafua midundo kama goli ndani ya boxer
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Akishakutana Numbisa na Carba humu basi tunapata tabu ata sisi
Assalyam alyequm carba, kheri huko?Wachaa
Duh! Ghali hivyo.. kweli vyuma vimekazia kwangu tu ! Nipambane na hali yangu tu
Hey Naddy!! Uko poa?
Unyumba haupatikani kwa mchumba!Unaweza kupata mchumba na usiweze kupata unyumba mwema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wapi wapinzani wetuuuuuuu[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]Kunjikwa law nyundo siyo mwisho wa ujenzi.
Furaha inaendeleaView attachment 1380062
Sent using Jamii Forums mobile app
Jioni yetu iwe njema
Poa Nige ..Unaendeleaje?Hey Naddy!! Uko poa?
Ngoja tushangilie kwanza ushindi wetu wa liver[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naanza kukutilia shaka, maana foleni unayotupanga siyo ya nchi hii[emoji23][emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app
Swahili naipata pia napenda sana mdundo wakeStereo huyo mzee,,,kitu kinaitwa Swahili