carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23]Hahah! Kabisa kabisa
Basi tuseme alhamdulillah.Usukumani ni kwema carba,uzima upo wa kutosha..
#sikuhizimwendokasi
#linajaasanaaisee
Ndio, kwenye dunia hii hii... utapata kinaitwa vingine lakini sio "unyumba mwema".kwenye dunia hii hii?
Hii clip huwa lazima ucheke#Saturdayvibe[emoji126][emoji126]View attachment 1380086
Nishukuru mimi best ilibaki kiduchu achukuliwe mpinzani wako unae nikutajie [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawaona nawaona
Yani auntie, kijana wako kanishinda[emoji22][emoji22]Inlaw mwenyewe anajiweka sokoni utadhani msimu wa karoti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpendwa alisifia siku moja ila anne wetu uwiiii kila siku mguu hivi mguu vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]jamanAsante mpendwa kwa kunitetea mwenye mali kafika anajitetea[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jioni ya kujitetea
[emoji849][emoji849][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tuvumiliane tu siunajua chama kilipata member wapya ambao walikua hawajazoea, ila sasa hivi tunapoendelea hakutakua na fujo tena
Mwanafunz wa KD, unategemea nn carba?Siku hizi kiwango chake kimepanda mnoo
Aiseeh!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mei hoi jamaniUnataka kuandikaje labla [emoji3][emoji3]
HahahahNaanza kukutilia shaka, maana foleni unayotupanga siyo ya nchi hii[emoji23][emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app