Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Niko likizo huko baada ya kuishiwa.Umehamia huko? au umeishiwa tayali, umeanza kula hadi majani
555555 jamanii ee diss zenu zinaumaaaaa kuliko kukosa kuona macho ya kingNiko likizo huko baada ya kuishiwa.
Hali yangu mbaya nakula nyasi[emoji17][emoji17]
Ndo nimeianza leo,nimeangalia ep1 tanesco wamekata umeme.Ushaangalia?
Nauliza tu ili nianze kuipondea 5555
[emoji16][emoji16][emoji16]Jamaniiiiii yaani umetushusha hiviii hahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole bhana.555555 jamanii ee diss zenu zinaumaaaaa kuliko kukosa kuona macho ya king
Hee tanwsco wanawaone huko. Ni nzuri bana 5555 mshaita majani aaah leo man u kule yanga acha tu nisubirie matokeoNdo nimeianza leo,nimeangalia ep1 tanesco wamekata umeme.
Hebu pondea tuone[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aah kumbe. Itabidi nihamie upande wenu japo nakua kachanga sipendi magumi bora aina za jack the giant slayer[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole bhana.
Mimi korea naendaga nikiishiwa kwakweli,kama sasa hivi
Ni kweli bro. Upendo wa kweli hapa duniani ni wa mama pekee.Hakuna kama mama