Kwa nini waziri naye alikuwa anauliza swali kama hilo?
Ila kiuhalisia ni afadhali wababa tufe mapema (na ndivyo ilivyo) kuliko akina mama. Watoto wakiondokewa na mama yao huwa ni mateso makubwa mno. Baba, kulingana na nature yetu na misukosuko mingi ya kutafuta maisha huku na huko, mara nyingi huwa hatuna ule ukaribu sana na watoto. Huwa tunadhani eti kuhudumia tu ndiyo kunatosha na hatumakinikii sana mahusiano mema na wanetu. Matokeo yake watoto wanaishia kumpenda zaidi mama yao. Na ukipata mwanamke ana roho mbaya anakuchomea kwa watoto aisee utachukiwa mno hata kama unajitoa vipi kuhakikisha kuwa wanasoma vizuri na kuishi maisha yanayostahili.
Acheni tu tufe mapema kwa sababu hakuna namna [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sent using
Jamii Forums mobile app