Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asante sana bro...

Zamani miaka ya 60 huko enzi zetu mabinti wa Kinyantuzu walikuwa wanazingua sana bro. Yaani mpaka umpate aisee ilikuwa kasheshe. Ukizubaa waweza ishia kupewa shanga na kanga tu kama kijenga imani....

#WanyirambaWeupeWarefuWamefungasha
#ManyoniNambariWani
#Alizeti
Hawa Wanyatunzi hadi leo, wako juu sana bro, ukienda kule unapigwa ng'ombe za kutosha

Hizo hashtag[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiki alichokifanya Wade kinasikitisha kwa vijana wetu wa baadae, ni kumuomba sana Mungu anusuru vijana wetu, hali ni mbaya
dwyanewade-20200308-0001.jpeg
 
Back
Top Bottom