Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_20200308-091203~2.jpg
 
Ni kweli bro. Upendo wa kweli hapa duniani ni wa mama pekee.

Nini kipya pande hizo? Wasukuma wako huko wanasemaje? Siku ukiondoka pande hizo utamisi sana ushamba wao na hasa kile Kiswahili chao cha kugandamiza [emoji16][emoji16][emoji16]
Hakuna kipya bro, zaidi ya mvua tu za hapa na pale.. Huwa nikiondoka nikikaa kama mwezi tu hivi nawakumbuka sana,vile wanavyoongea ni burudan tosha... Yote kwa yote Wasuku ni wakarimu sana bro,kwa hilo mlibarikiwa sana..

#BilaKusahauMazigoYaKuvunjaChaga
#WanyatunziWenyeRangiYaoWalioendaHewani[emoji16][emoji16]
 
Asante sana bro...

Zamani miaka ya 60 huko enzi zetu mabinti wa Kinyantuzu walikuwa wanazingua sana bro. Yaani mpaka umpate aisee ilikuwa kasheshe. Ukizubaa waweza ishia kupewa shanga na kanga tu kama kijenga imani....

#WanyirambaWeupeWarefuWamefungasha
#ManyoniNambariWani
#Alizeti
 
Ni kweli bro. Upendo wa kweli hapa duniani ni wa mama pekee.

Nini kipya pande hizo? Wasukuma wako huko wanasemaje? Siku ukiondoka pande hizo utamisi sana ushamba wao na hasa kile Kiswahili chao cha kugandamiza [emoji16][emoji16][emoji16]
Duh waziri wa afya kauliza watoto kati ya baba na mama mnatamani nani atangulie kufa,watoto wakajibu baba aiseee wababa wana shida mno
 
Kwa nini waziri naye alikuwa anauliza swali kama hilo?

Ila kiuhalisia ni afadhali wababa tufe mapema (na ndivyo ilivyo) kuliko akina mama. Watoto wakiondokewa na mama yao huwa ni mateso makubwa mno. Baba, kulingana na nature yetu na misukosuko mingi ya kutafuta maisha huku na huko, mara nyingi huwa hatuna ule ukaribu sana na watoto. Huwa tunadhani eti kuhudumia tu ndiyo kunatosha na hatumakinikii sana mahusiano mema na wanetu. Matokeo yake watoto wanaishia kumpenda zaidi mama yao. Na ukipata mwanamke ana roho mbaya anakuchomea kwa watoto aisee utachukiwa mno hata kama unajitoa vipi kuhakikisha kuwa wanasoma vizuri na kuishi maisha yanayostahili.

Acheni tu tufe mapema kwa sababu hakuna namna [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui kwanini ameuliza hivyo na ni leo hii

Aiseee pamoja na yote bado sijafikia kusema mmoja atangulie uwiii hali itakua ngumu mno mawazo,nshawazoea wote
 
Back
Top Bottom