Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Korean drama naangalia sana.
Kumbe na wewe unaangaliaga?
Hata mimi nimefurahi kumuona anaenda koreaNimefurahi kumbe wadau tupo wengi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee....Asante sana bro...
Zamani miaka ya 60 huko enzi zetu mabinti wa Kinyantuzu walikuwa wanazingua sana bro. Yaani mpaka umpate aisee ilikuwa kasheshe. Ukizubaa waweza ishia kupewa shanga na kanga tu kama kijenga imani....
#WanyirambaWeupeWarefuWamefungasha
#ManyoniNambariWani
#Alizeti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata mimi nimefurahi kumuona anaenda korea
Bro katoka 70 kaingia 60Aisee....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muda si mrefu utaona kafika hapaAah hata mie nimeelewa hivyo acha kujishtukia kama hance[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kale kajamaa tatizo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muda si mrefu utaona kafika hapa
Ndio naangalia pia, kuna moja nataka niianze hapa inaitwa Money GameKorean drama naangalia sana.
Kumbe na wewe unaangaliaga?
Hahah women of 99 billionNimefurahi kumbe wadau tupo wengi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
The Crossing iko poa sanaThe crossing nimeianza jana.
Hizo nyingine bado,ngoja nitazicheki
Fact broKwa nini waziri naye alikuwa anauliza swali kama hilo?
Ila kiuhalisia ni afadhali wababa tufe mapema (na ndivyo ilivyo) kuliko akina mama. Watoto wakiondokewa na mama yao huwa ni mateso makubwa mno. Baba, kulingana na nature yetu na misukosuko mingi ya kutafuta maisha huku na huko, mara nyingi huwa hatuna ule ukaribu sana na watoto. Huwa tunadhani eti kuhudumia tu ndiyo kunatosha na hatumakinikii sana mahusiano mema na wanetu. Matokeo yake watoto wanaishia kumpenda zaidi mama yao. Na ukipata mwanamke ana roho mbaya anakuchomea kwa watoto aisee utachukiwa mno hata kama unajitoa vipi kuhakikisha kuwa wanasoma vizuri na kuishi maisha yanayostahili.
Acheni tu tufe mapema kwa sababu hakuna namna [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sent using Jamii Forums mobile app