Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Hawa Wanyatunzi hadi leo, wako juu sana bro, ukienda kule unapigwa ng'ombe za kutoshaAsante sana bro...
Zamani miaka ya 60 huko enzi zetu mabinti wa Kinyantuzu walikuwa wanazingua sana bro. Yaani mpaka umpate aisee ilikuwa kasheshe. Ukizubaa waweza ishia kupewa shanga na kanga tu kama kijenga imani....
#WanyirambaWeupeWarefuWamefungasha
#ManyoniNambariWani
#Alizeti
Bro[emoji23][emoji23]Muddy
Bro[emoji23][emoji23]
Kwema bro,habari ya uzima kaka?Kaka kwema
[emoji23][emoji23][emoji23]kila siku umri wao unaongezekaUncle nae enzi za mv bukoba alikua sec [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah wahenga wetu humu
Sawa mdauNdio naangalia pia, kuna moja nataka niianze hapa inaitwa Money Game
Umenipa moyo wa kuendelea nayo.The Crossing iko poa sana
Endelea nayo tu iko poa, kuna sehemu wanaisema Tanzania kuhusu mauwaji ya albinoUmenipa moyo wa kuendelea nayo.
Jana niliishia ep3
Dunia imeshaisha tayariHiki alichokifanya Wade kinasikitisha kwa vijana wetu wa baadae, ni kumuomba sana Mungu anusuru vijana wetu, hali ni mbayaView attachment 1381075
[emoji125][emoji125][emoji125]Naanza kuhesabu hapa[emoji2]
#watuwakotaifa
Hahah fanya hvyo carba[emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 1381090
MashaAllahWanachungulia[emoji125][emoji125]View attachment 1381091
[emoji120][emoji120][emoji120]MashaAllah
Riba ya deni bado carba[emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tumeshana..
#wakubwawanafaidi