Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Kilichokufurahisha hapo ni kipi?
Ila unampenda zaidi mama ....Sijui kwanini ameuliza hivyo na ni leo hii
Aiseee pamoja na yote bado sijafikia kusema mmoja atangulie uwiii hali itakua ngumu mno mawazo,nshawazoea wote
Ndo walivyo kuna aina nyingi za magonjwa hayo
Nisiwe mnafiki nawapenda wote,ila shuleni pote nilikua mtoto wa baba baba zaidi kuliko mama mpaka wakadhani sina mama. Kila kitu baba hivi baba vile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo ni anne sio TH ujueKilichokufurahisha hapo ni kipi?
Introvert eeeh!Introvert wengi wamejaa humu kuchat.
Hii Ni sehemu pekee inayowafanya wainteract na watu.
Hii Ni kwa sababu mtaani hawana marafiki kabisa.
Mtaa ninaokaa sifahamiki kabisa ,kwa sababu Ni nadra kunikuta nje..ukiniona basi ni ibadani.
Nimetoka juzi kwenda mjini pharmacy,kuna dawa nilienda kuisaka.
Picha kwa kiasi kikubwa nimebadilika, nadhani hata ule uzi umechangia Mimi kubadilika na kuwa hivi.
Ilikuwa inapita hata nusu mwaka sijawaji kupiga picha
Ukinikuta hivi ana kwa ana hutaamini Kama Ni Mimi huyu maenye maneno Mia humu..
Nikiwa nyumbani sometimes wananifosi nikae sebuleni kupiga story maana muda mwingi Ni jikoni na chumbani
Mtaani na shule sipendi kuinteract na watu kabisa na Sina rafiki,wengi wanashindwa kucopy na hii style yangu ya Maisha.
Nadhani hobby yangu Ni kuimba na ninapenda sana kuimba hasa mumwimbia Mungu.
Familia yangu ya kusifu na kuabudu mambo yote ya ibada nitaparticipate ila huji kunikuta napiga story au nimeenda kwenye sherehe ya mtu,mara wamebaki kupiga picha au kutembea kwa pamoja taratibu nilishashindwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
SYB anaingiaje tena hapa kamanda?Siwezi kuwa na hasira kama SYB, mpira naujua vema.
Tanieni mnavyoweza nakuchukulie poa tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo ni anne sio TH ujue
Shukrani bro, poleni sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shindwaa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji7][emoji7]View attachment 1381278