Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mnafurahisha sana aisee. Mtu kama hawajui anaweza kudhani kweli mlikuwepo kumbe 1992 wengine ama ndo mlikuwa mnakamua makimba kwenye nepi au mlikuwa hata hamjulikani mliko...

Acheni kujifaragua bana [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kukamia [emoji3].... Aisee

Noma sana
Kukamia ndo mwanzo wa kuchemsha....

Kuna uzi ule wa mabaharia walikuwa wanaelezana shoo mbovu walizowahi kupafomu. Baharia mmoja akafunguka eti alikuwa kamkamia demu pini kali hatari siku ya siku demu kazuka ghetto sasa eti ile tu anapishana naye mlangoni wakagusana basi baharia wareno haooo...na Abdallah kichwa hakuamka tena. Nilicheka sana aisee lakini ndo hivyo mkamia maji hayanywi. Hata ukijipigilia hizi alkasusu zenu kama umekamia sana waweza ishia kuchemsha unabubujika hovyo hovyo tu bila mpangilio [emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…