Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️😀
 
Anko si aunt yupo jaman. Kila siku yanakukuta tu hahaha
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Anko
Ni rafiki yangu wa kawaida japo ni wa karibu tangu tupo chuo.
Hisia zetu zilipishana, yaani mimi nilichelewa kung'amua, baadae kila mtu akaenda zake, sehemu aliyo fikia sio sahihi kwake.
Ni mengi sana Anko,ila kiuhalisia anapitia magumu na lawama zinakuja kwangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaah huyo rafiki angejiongeza ukaelewa somo. Ajifahidi kuacha kukutupia lawama anko wetu,maisha ya lawama huwa sio mazuri
 
Lakini, tangu astaafu rasmi soka mwaka 2018, mambo yamekuwa si mambo kwake, amehama kutoka kuwa mfalme ambaye kila aliloligusa alipokuwa uwanjani liligeuka dhahabu, hadi kuwa mtu wa majanga kila kukicha. Hii ni baadhi tu ya misala ambayo yamekuwa yakizidi kumpoteza.
 
Inaelezwa Gaucho alikuwa kwenye uhusiano na warembo wawili kwa wakati mmoja, Beatriz Souza na Priscilla Coelho na wote aliwavalisha pete na alikuwa anataka kuwaoa kwa wakati mmoja katika hafla ambayo ilipangwa kufanyika katika jumba lake la Pauni 5 milioni jijini Rio de Janiero.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…