Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1583897786937.jpeg
 
Spurs walifanya ujinga kumfukuza kocha alieelewa kikosi vizuri. Kwani sababu ilikua ipi?
Wanasema kocha alikaa na timu muda mrefu bila kuwapa kikombe chochote, yaani baada ya Pocha kujitahidi kuwafikisha walipofika nao walijiona ni timu inayostahili kupata vikombe hivyo wakamtoa na kumleta kocha wa vikombe
 
Hili ni tusi kali kwa simeone pia. Shukran ya punda huwa mateke ona sasa walifikishwa mbali hawakuridhika saiv wanashushwa walipostahili
 
Simeone mbona kishaleta kombe la La liga na juzi kati tu hapa kashusha Europa.....

Hao Tot wangempa tu muda jamaa, eti kufikishwa final ya Uefa basi na wao wakajiona ni timu kubwa
 
Back
Top Bottom