Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Sasa kilichomkimbiza griez nini ,maana hadi wa leo sijaona sababu ya yeye kwenda barca daah soka lina mambo. Ila simeone kavumiliwa sana msimu huu ulikua wa kwakeSimeone mbona kishaleta kombe la La liga na juzi kati tu hapa kashusha Europa.....
Hao Tot wangempa tu muda jamaa, eti kufikishwa final ya Uefa basi na wao wakajiona ni timu kubwa
Wale wagonjwa wetu wa kidole na icu hawanaga nafuu ya maana