moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Simeone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hoja ya huyu mbona haieleweki sasa?
Hatanii huyuS
Simeone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
S
Simeone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wa amerika kusini wote tuWabrazil wengi wanapenda anasa sana pia hawana usimamizi mzuri, ameshindwa kumuiga hata Messi kutulia na mpira Tu
Huwa nafurahia bifu lake na ronaldoHatanii huyu
Nakumbuka zile shangilia zao 🤣Huwa nafurahia bifu lake na ronaldo
Spurs walifanya ujinga kumfukuza kocha alieelewa kikosi vizuri. Kwani sababu ilikua ipi?Wapambanaji wamezidi kuumizwa View attachment 1383919
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakumbuka zile shangilia zao 🤣
Wanasema kocha alikaa na timu muda mrefu bila kuwapa kikombe chochote, yaani baada ya Pocha kujitahidi kuwafikisha walipofika nao walijiona ni timu inayostahili kupata vikombe hivyo wakamtoa na kumleta kocha wa vikombeSpurs walifanya ujinga kumfukuza kocha alieelewa kikosi vizuri. Kwani sababu ilikua ipi?
Hili ni tusi kali kwa simeone pia. Shukran ya punda huwa mateke ona sasa walifikishwa mbali hawakuridhika saiv wanashushwa walipostahiliWanasema kocha alikaa na timu muda mrefu bila kuwapa kikombe chochote, yaani baada ya Pocha kujitahidi kuwafikisha walipofika nao walijiona ni timu inayostahili kupata vikombe hivyo wakamtoa na kumleta kocha wa vikombe
Nakumbuka zile shangilia zao 🤣
Simeone mbona kishaleta kombe la La liga na juzi kati tu hapa kashusha Europa.....Hili ni tusi kali kwa simeone pia. Shukran ya punda huwa mateke ona sasa walifikishwa mbali hawakuridhika saiv wanashushwa walipostahili
Anastahili kwakweli maana finals kapiga nyingi mnoNatamani El Cholo abebe champions league siku moja