myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ashapatikana huyo, Ndo mana makopa mengiiiii[emoji2088][emoji2088][emoji2088]Nikikupata - Ben Pol
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
Unaenda wapi sasa? 😀Ashapatikana huyo, Ndo mana makopa mengiiiii[emoji2088][emoji2088][emoji2088]
😀😀😀 dah!hujamzowea huyo ahjumma mfugaji sungura......
hivi anaweza kulisahau jina la NINGENDAKO nywele za kipilipili
maji ya kisima yapoooo😀😀😀 dah!
Mzee umeshanunua sanitizer?
Yanakinga sio?maji ya kisima yapoooo
ndiooo,,,,,,,,,Yanakinga sio?
Sijambo. ShikamooHujambo...
Hakuna, kuna vidimbwi vya maji tundiooo,,,,,,,,,
kwani huko kwenu hakuna visima?
munatumia maji ya vidimbwi mumegeuka kambare?Hakuna, kuna vidimbwi vya maji tu
Mhh unahisi sikukuona kule?Hapana wa kwanza mpendwa
Sometimes we are..... 😀😀munatumia maji ya vidimbwi mumegeuka kambare?
View attachment 1388058
Sio mimi umenifananishaMhh unahisi sikukuona kule?
Ulipopata makopa[emoji28]Unaenda wapi sasa? [emoji3]