Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ndio maana meno yenu yanakuwa meusiiiii kama makaa ya mawe (watu wa arusha)
Hahah
Unatutukana sio? Ujue n ugumu wa maisha ndio unasababisha wazazi washindwe kuafford maji ya JIBU au NANo filter?!! + Yale ya kilimanjaro and the like.
Mtoto akiwa mdogo ukimnywesha maji ya bomba ndio matokeo yake Yale (wanakuwa n meno mabaya)

#can't imagine uko na meno Yale halafu in mwanya πŸ˜€πŸ˜€
 
Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Jmos ya makopaaaa
β€β€β€πŸ’“πŸ’“πŸ’“πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’™πŸ’™πŸ’™πŸ’—πŸ’—πŸ’—πŸ’–πŸ’–πŸ’–πŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’œπŸ’œπŸ’œπŸ–€πŸ–€πŸ–€πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’ŸπŸ’ŸπŸ’ŸπŸ’ŒπŸ’ŒπŸ’ŒπŸ’˜πŸ’˜πŸ’˜πŸ’‹πŸ’‹πŸ’‹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…