The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
๐ ๐ ๐waachwe tu
mapenzi ya davet na the happiness yamekwisha?
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ ushawasili sasaKhaaaaa!!!
You got it bad Man...
Kwishaoza,!
Mhh na alkasusu zote zile ๐Huu mimi sina kabisa kwakwelim mimi ujuzi wangu wanaishia kuogelea tu na kupunga upepo bustanini lakini sio kula tunda la mti wa kati ๐๐๐๐๐๐
Mkanganyiko tupu yaani. Wamarekani wameshapaniki balaa. Madukani huko hakuna toilet paper, maji hata madawa ya kawaida. Ni kusukumana aisee. Kila unakokwenda kuna hand sanitizer na medicated wipes. Shule zimefungwa na vyuo vingi vinahamishia madarasa mtandaoni. Makazini huko watu wwnaombwa wafanyie kazi majumbani. Tuombe Mungu nyumbani kwetu isifike na inafurahisha wataalamu wanasema kuwa kirusi chenyewe hiki hakiwezani na hali ya joto. Labda hiyo itatuokoa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sasa ndio nini hiyo attachment uliyoweka? Sio vizuri ujue nilikuwa na mpango usiku nipike tambi asee sasa Nikinyanyua tambi si ntahisi ni vitoto vya nyoka.
#uzurindioupomachonimwamtazamaji
#Emukapichabasikahuyomtoto/mlimbwende
#natakakuonakamayaliyomoyamo
Kwishapatikana wewe๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ ushawasili sasa
Duh! Kama ni hivyo kuna atakayepona? Mbona hata katika biashara dhana ni ile ile...unanunua kwa bei ya chini halafu unauza kwa bei ya juu?Riba ni ile mali unayopata kwa hila kama faida ya benki, kamari nk,
Hairuhusiwi kukopesha/kukopa kwa riba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku ya kwanza Msukuma nimefika Dar nikaomba wanipeleke katika soko la Kariakoo nikatoe ushamba. Uwii kufika mtaa wa Kongo wajanja wakataka kuniibia pesa zangu za mauzo ya nyanya na dengu zangu. Tangu siku hiyo huwa napita hapo kwa uangalifu sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Nisivyopenda kuchana nywele mimi jamani[emoji134][emoji134][emoji134]Za mazaga mbaya.
Napenda minyoosho kuliko kuchanaView attachment 1388391
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa na uc browser(sio mini yake) auchrome utadownload vizuri tu. Kwangu uc browser ipo faster hasa ukiiset kukuletea episode 6 kwa wakati mmojaNaombeni link za kudownload movie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]waachwe tu
Usinitie majaribuni mpendwa....
Hapo Dubai siyo mbali kivile (japo kuna Corona) [emoji16][emoji16][emoji16]
Unaweza kuta hata Mtanashati na Esta ni familia moja. Mambo ya anonimazi haya ni hatari tupu [emoji16][emoji16][emoji16]Kutuma kapicha ka mtoto mahali hapa!!!?
Unaweza kuta baba, mama na mtoto wote wako hapa wanagonga likes bila kujuana na huku mkitaniana
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana Esta ake ๐Ukiwa na uc browser(sio mini yake) auchrome utadownload vizuri tu. Kwangu uc browser ipo faster hasa ukiiset kukuletea episode 6 kwa wakati mmoja
My Secret Romance at Dramanice
Watch W โ Two Worlds Episode 3 online at Dramanice