Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Za akina ninge,carba tafuta application ya popcorn time ipo googleKorean na za kizungu
AiseeHaikuwa kimasihara mzee mwenzangu [emoji23][emoji23]
Umeachwa eeh? tena mara 2[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nice. Ukishindwa steps uliza usione soo.Asante sana Esta ake π
ooh okay okayZa akina ninge,carba tafuta application ya popcorn time ipo google
πππ hicho kifriji tu!Alijisemeaga Aristoto au sijui nani....
Ulimbwende/Uzuri wa mtu/kitu umo machoni mwa mtazamaji...
Tangu nizaliwe kuna mwanamke mmoja tu ambaye alilia sana nimtandike mimba kwa sababu eti alitaka sana katoto kake kawe na sura yangu japo kwa mbali ili awe na kumbukumbu ya kudumu. Na kweli katoto nilimpa...na ni kalimbwende sana sana japo nadhani kamemfanana mama yake....
Nimejibu swali lako au bado niendelee?
Ngosha Ze Don himuselfu [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1388171
Cha kufutia TECNO hiki Naddy [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] hicho kifriji tu!
Hapa natumia TOR browser nimefungua lakin naona hola, ngoja nitafute UCNice. Ukishindwa steps uliza usione soo.
Tumeshamwambia ajoin telegram tumtajie channelsZa akina ninge,carba tafuta application ya popcorn time ipo google
πππππ Hufai wewe. DaahMhh na alkasusu zote zile π