moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Niliwahi kugombana na mwanafuzi wakiume wakati nipo o level nikambinya huko alinikwida shingo alininyonga angeongeza sekunde 30 angeniua
Yani hadi Leo nawaheshimu wanaume
Heee wee kijana kama unataka likes sema kujileta tu muda wote kisingizo umetajwa pheeewwwAisee
WANTED
full name: moudgulf mchimba madini
umri: miaka 43
amepotea maeneo ya merseyside jumatano ya wiki hii.
hana ugonjwa wa akili,
handsome boyii,
akicheka anang'ara,
akinuna anapasuka
Pole sana aisee. Nimecheka kama vile mazuri. Siku nyingine ukimbinya mwanaume huko basi jiandae kwa lo lote kwa sababu maumivu yake hayavumiliki. Kuna jinsi ya kumbinya mpaka anapoteza fahamu. Wanawake huwa wanafundishwa kwenye kozi za kujilinda....Niliwahi kugombana na mwanafuzi wakiume wakati nipo o level nikambinya huko alinikwida shingo alininyonga angeongeza sekunde 30 angeniua
Yani hadi Leo nawaheshimu wanaume
Hiyo ni kawaida.
Mwenye hela zake hawezi kukuwaza wewe wakati anajua fika kilichokupeleka hapo ni hayo mahela yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaza pyua andaeitini ini da hausi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2][emoji2] ulikuwa hujatahiriwa!?? Huo mwaka hata mama yangu hajaolewa[emoji56]
hii mara nyingi inatumika pale ambapo computer inakuwa restricted kuingia kwnye youtube na kwingineko....hasa maofisiniDuh kuna browser nyingi,sijawah kuitumia hio
Unawafundisha tabia mbaya hao wasichana [emoji23][emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app
mama yangu amenipikia wali kwa mchuzi wa nazi ulioambatana na pweza waliovuliwa bahari ya UROA bay.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kitu uligusa hapo chini kina maumivu makali sana.
Ukitaka kupatwa na majaribu gusagusa maeneo hayo bila sababu ya maana[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hance bana. Yaani mtu akikutaja tu tayari ushaibuka [emoji16][emoji16][emoji16]Aisee