Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
SYB maneno mengi na kujimwambafai tu. Kiboko yake fisi...
Duh! Kama ni hivyo kuna atakayepona? Mbona hata katika biashara dhana ni ile ile...unanunua kwa bei ya chini halafu unauza kwa bei ya juu?
Siku ya kwanza Msukuma nimefika Dar nikaomba wanipeleke katika soko la Kariakoo nikatoe ushamba. Uwii kufika mtaa wa Kongo wajanja wakataka kuniibia pesa zangu za mauzo ya nyanya na dengu zangu. Tangu siku hiyo huwa napita hapo kwa uangalifu sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Unaweza kuta hata Mtanashati na Esta ni familia moja. Mambo ya anonimazi haya ni hatari tupu [emoji16][emoji16][emoji16]
Hiyo 900 ya juu SI ndio km Tina yenyewe.Biashara imehalalika, riba imeharamika.
Kwenye biashara unaweza kununua kwa sh 100 na ukauza kwa sh 1000 hakuna tatizo.
Tatizo lipo kwenye RIBA
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] anabania watu riziki
Usiku wa pipi na peremende[emoji23][emoji23]Usiku wa kunyonya na kumumunyaaaa
✔✔Usiku wa pipi na peremende[emoji23][emoji23]View attachment 1388554
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiku wa ujii...
Heee wee kijana kama unataka likes sema kujileta tu muda wote kisingizo umetajwa pheeewww
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waaarabu wa Pemba,
Wajuana kwa vilemba[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] wewe acha kutuharibia..