Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Tabia gani mbayaaa
Hance bana. Yaani mtu akikutaja tu tayari ushaibuka [emoji16][emoji16][emoji16]
Mkanganyiko tupu yaani. Wamarekani wameshapaniki balaa. Madukani huko hakuna toilet paper, maji hata madawa ya kawaida. Ni kusukumana aisee. Kila unakokwenda kuna hand sanitizer na medicated wipes. Shule zimefungwa na vyuo vingi vinahamishia madarasa mtandaoni. Makazini huko watu wwnaombwa wafanyie kazi majumbani. Tuombe Mungu nyumbani kwetu isifike na inafurahisha wataalamu wanasema kuwa kirusi chenyewe hiki hakiwezani na hali ya joto. Labda hiyo itatuokoa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]