Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umri wa kakako unaona ni mdogo?
Fikiria mtu keshagonga 40 nawe una 23, mko sawa kiumri?[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani ana 23?..kwenda huko[emoji23][emoji23][emoji23]

Dada yangu wa kwanza yeye kidogo aliniacha parefu kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Riba inabakia kuwa riba, na faida ya biashara inabaki kuwa faida.
Mfumo wote wa maisha ya muislam una muongozo.
Jinsi ya kutembea, kuvaa, kulala, kuingia chooni, kutoka, kusafiri, jinsi ya kuishi na majirani nk,
Kwahiyo kila unachotaka kufanya lazima ujipime.
Ila kutokana muingiliano mkubwa tulionao kuna waislamu wanaiga mira za Manaswara (Wakristo) na Mayahudi kinyume kabisa na maagizo ya dini yao.
 
Mimi sitaki unijibu kidini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hiyo 23 nimefanya kukuongeza, wahenga hapa wanadai wewe ni andatwente[emoji23]
Ndio matatizo hayo ya watu kujidai wahenga.
Nyie humu watoto tu..labda kidogo ankoo.
Nyie wengine Ni kaka zangu tu..tena ukakaa wenyewe nimewapendelea.

Ati 23 Nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada zako wanajua kuwa wewe ni msumbufu humu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawatokaa waamini.
Kuna mmoja juzi nilikuwa namuhadithia juu ya yule kijana aliyejinyonga..ati ananiulizia unatumia jina gani jf..nikaishia kucheka tu.
Ila akiingia atanigundua tu maana hili Anne sometimes huwa wananiita nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ina maana mimi hapa na Kamanda wangu SYB unatuona wadogo wenzako eeh!!?[emoji849][emoji849]
Sisi ni vibabu hata anko wako anasubiri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ndio matatizo hayo ya watu kujidai wahenga.
Nyie humu watoto tu..labda kidogo ankoo.
Nyie wengine Ni kaka zangu tu..tena ukakaa wenyewe nimewapendelea.

Ati 23 Nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Waambie tunakujua kwa jina la Stella wa Mwakaleli[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwendeni huko..
Nyie mpo kwenye 30's ambayo hata Mimi mwakani Mungu akijaalia nitafikisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…