Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Beautiful si mzuri kwa kiswahili
Ndiyo lakini jamii lugha inajua kuwa kama ni beautiful basi ni lazima awe mwanamke; na kama ni mwanaume basi atakuwa ni handsome ambayo kwa Kiswahili pia ni mzuri. Lugha ni mfumo tata unaotegemea vitu vingi katika jamii ili kufikisha maana vikiwemo muktadha na utamaduni wa jamii. Kuna wakati tafsiri sisisi hazitoi maana kusudiwa...
 
πŸ™πŸ½
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…