carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Unataka na za aina gani?Nilifanikisha yap, ila za kizungu pekee
Mkono [emoji7][emoji7][emoji7]Aliweka nini eti?
Davet ninaeumia roho ni mimi [emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi sifa hizi[emoji23][emoji23][emoji23]Mungu alipokuwa anamfinyanga Mkokaa alitulia haswaa.[emoji7]
Wengine sisi aisee nadhani alikuwa anaenda spidi Kali Sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yatosha anne[emoji23][emoji23][emoji23]Kwenye picha za Leo nimeongea uhalisia kabisa kabisa..sijaongeza chumvi hata kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
#Ndiomaananakupendaga
Ndio mzee mwenzake[emoji3]Unataka na za kikorea?
Jamani Mkokaa [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji91][emoji91][emoji91]
Aisee ..sijawahi ona mchaga mzuri Kama huyu Mkokaa[emoji91]
Sent using Jamii Forums mobile app
ππHata wewe Davet ulikuwa na X chromosome?
Sitaki kuamini ..na Lile body na mchana uliloweka ulianza kuwa wa kike kwanza!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jamani
[emoji23][emoji23][emoji23]
πππ
Za kikorea bebi akeUnataka na za aina gani?
Kwani huwa anatia?
Yaani ni bora upewe samare na ningendako kuliko Saint AnneHahah! Usiumie bwana
Jana saa nne usiku tumekutafuta bila mafanikioNinaeumia ni mimi niliyepitwa jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenda sawa na hawa vijana inahitaji speed kubwa, sio wenye mwendo wa kobe tutaisoma sana namba ankooMimi ni wa kugaragazwa kila mara, nipo hapa hapa kitu kinapita mbele shaaa[emoji1][emoji1][emoji1]
Mungu ni mwema tupo salama kabisa. Habari za majukumu Ankoo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua ndiyo Ni Sheria inamtaka atie.
Ila nikisikia huwa hatii..na akitia huwa hawauliwi.
Hivi hili Lina ukweli?
Sent using Jamii Forums mobile app