Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Afrika wanasema hata Corona kikija na moto kitamalizwa nguvu na joto...Tuombe iwe hivyo vinginevyo wahenga aisee tutapukutika sana uwiiiii....

Kwa wenzetu huku hakuna kwenda job kwa wiki mbili nzima eti wakipima zali. Kazi zote ni conferencing na simu. Vyuo na mashule yote masomo mitandaoni. Total panic yaani. Toilet papers hakuna na kutumia maji hawa watu hawawezi. Sijui itakuwaje...
 
Kusema kweli Afrika tutapukutika mnoo, ni bora iwe kweli wanachokisema kuhusu jotoo ndio tutapona pona......wenzetu naona wako serious mnoo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…