moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Miye kinara wenu humu. Seventi faivu parefu sana aisee. Hasa kwa sisi wanaume wa Kiafrika...
Wewe nadhani bado unachezea midi 40s...
Ankoo wa Mwakaleli naye labda leti 40s
Wadogo zangu wa mbaaaaliiii hata mngeweza kuwa wanangu kabisa kama ningejidamka...
Miye kinara wenu humu. Seventi faivu parefu sana aisee. Hasa kwa sisi wanaume wa Kiafrika...
Wewe nadhani bado unachezea midi 40s...
Ankoo wa Mwakaleli naye labda leti 40s
Wadogo zangu wa mbaaaaliiii hata mngeweza kuwa wanangu kabisa kama ningejidamka...
Kwendeni zenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mi mwenyewe ni kibabu siyo mchezo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe SI hutaki kunipa zako.
Acha nisifie wenzio
Weka yako
Kwa hiyo moud hutaki hata nisifie vijana watanashati hapa na picha zao wameweka?
Aseeh,Nchi za kiafrika za kiarabu na wenyewe kwa sasa kuna hali ya hewa ya baridi kama ile ya Ulaya.
Naambiwa hao virus wanapata nguvu sana kwenye hali ya hewa ya baridi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2]
HamnaZipo kule juu
Ninayo hiyo tu ya maparachichiView attachment 1389173
Sent using Jamii Forums mobile app
Andafoti utawajua tu[emoji23][emoji23][emoji23]We mzee wewe, yani umesahau michezo yetu mitaa ya chang'ombe unubini zama zile, umesahau mitaa ile Haji Suleiman Haji, umeshau wakati tuko pamoja mitaa ya KJ motors, umesahau tukiwa wote mitaa yetu pendwa kwa kina nanihiii... yani kweli leo unanikana !!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
NdioNi picha kaweka?