moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Nitake radhi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walipimaje huo ukubwa.. nawaza tu kama shahawa zina Binary Digit (Bit)0,1Shahawa moja imebeba taarifa (DNA) zinazofikia ukubwa wa 37.5MB. Wastani kwa mshindo mmoja hubeba ukubwa wa taarifa (DNA) zaidi ya 1,587.5TB.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daahMwaka 2005, Mtu mmoja alijishindia Tsh Milioni 2.3 baada ya kusoma sehemu ya Terms And Conditions' ambayo mwishoni ilikuwa ikimtaka mtu baada ya kumaliza kusoma afanye mawasiliano nao ili kupata zawadi yake. Ilichukua miezi 5 mpaka mtu kujishindia zawadi hiyo ambapo kabla zaidi ya watu 3,000 walifanya manunuzi bila kujua Ofa hiyo.
Hahah! Kwamba unaona sifa zimekaa kibasha?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huoni anavyomwaga sifa bro
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀Zitakuwa PM bila shaka[emoji6][emoji6][emoji6]
Sijambo
anelka ama?
😀😀
Ndio sports ladyanelka ama?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema hakyananiii....@carbamazepine lete chokoleti huku
NiceNdio sports lady
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimekumbuka zawadi nilipewa juzi hapa
#kumbewatuwanamaujuzikitambo
Inasikitisha sana[emoji938]View attachment 1389303
Na njaa mbaya sana
Duh hatari[emoji938]View attachment 1389303
KumbeHakuwahi kuwa na njaa, ingawa anajifanya ana njaa.
Huyu bwa mdogo alifungua duka kubwa la Hardware Chanika na biashara ilikuwa inamuendea vizuri tu.
Ni vile alizunguukwa na watu ambao walifaidika na sanaa yake kwahiyo kujiondoa kwenye fani iyo kuliwapa wakati mgumu.
Na hao ndiyo waliomshinikiza kuyarudia maasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Dahhh!!Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani unanikana mi ndugu yako kisa mwanamke?
Umesahau tulivyokuwa tunasakata rhumba pale Super Rose mtaa wa Ndalala, au tulivyosakata msondo wa NUTA pale Mundo Bar, au tulivyosakata Ndekule pale CCM kata ya 14 ?[emoji23][emoji23][emoji23]